UCHAGUZI KENYA-MATOKEO YAENDELEA KUTOLEWA-KENYATTA BADO KINARA.
Baada ya siku kashikashi ya uchaguzi na kupiga kura nchini Kenya, Matokeo ya uchaguzi huo yameazwa kutangazwa toka hapo jana.
| Wananchi wa Kenya Wakifuatilia matokeo hayo katika Televisheni. |
- Uhuru Kenyatta (Jubilee Alliance): 55%
- Raila Odinga (Coalition for Reform and Democracy): 41%
- Musalia Mudavadi (Peace coalition): 3%
- Asilimia 37% ya vituo vya kupigia kura vimeshatoa matokeo.
0 comments: